HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 16, 2014

mjengo wa kisasa unapangishwa Tabata, Kimanga


Maelezo ya nyumba husika:
  • Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom na viwili vya kawaida), dinning room, laundry na stoo.
  • Ina simtanks 2 (lita 2000 na lita 1000).
  • Iko ndani ya uzio na geti. 
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0763514988.

Bomba la mvua ndani
sitingi rumu kubwa kuliko
korido ya kujidai
ukiacha bomba la mvua,pia kuna jakuzi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad