Mkwezi hodari katika minazi mirefu na mifupi mwenye makazi yake ya kudumu jijini Dar (Jina Kapuni) amekutwa akifanya yake juu ya mti wa Mnazi,wakati alipotembelea moja ya mashamba ya minazi ya wadau wake hivi mazuji.Mkwezi huyu mwenye mitindo kede kede ya kukwea minazi na mwenye uzoefu wa miaka mingi na amekuwa akipata tenda mbali mbali za kufanya shughuli hiyo kutoka kwa wadau wa maeneo mengi.
Baada ya kushusha nazi ya kutosha,sasa ni kazi ya kuzifua nazi hizo.
Mikono pia hutumika kwenye kazi hiyo.
"Hizi ntaendelea kesho" ndivyo alivyosekika akisema mkwezi huyo.
Kazi imeishaa.

No comments:
Post a Comment