Mwili wa marehemu Elias Anthony ukiingizwa kanisaniKaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapundawakiwawamesimama
mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa
katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya
mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe
inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa
na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda
lakini mungu amempenda zaidi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema
peponi AMEN.Mwili wa narehemu Elias Anthony ukiombewa kabla ya kuingizwa kanisani.Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapundapamoja na waombolezaji wengine wakiombea mwili wa marehemu.Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapundawakiongoza waombolezaji kuingia kanisani.
Waombolezaji wakiwa kanisaniKulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi, Meneja masoko wa Bodi hiyo Geofrey Meena wakishiriki katika misa ya mazishi katika kanisa katoliki MikocheniBaadhi ya maofisa wabodi ya utaliiwakiwa katika misa hiyoMsafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishiMsafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishiTeddy Mapundaakiwa na mama mkwe wake kushoto mama Agness Marangu tayari kwa kushiriki mazishi ya marehemu Elias Anthony Mapunda katika makaburi ya Kinondoni jana.Waomboleza wakibeba jeneza la mwili wa marehemu Elias Tayari kwa mazishi.Waombolezaji wakiwa makaburiniTeddy Mapundana waombolezaji wengine ndugu jamaa na marafiki wakiweka mchanga kaburiniNesto Mapunda kaka wa Marehemu Elias Mapunda akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Elias.Waombolezaji wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya Marehemu Elias Anthony Mapunda yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana.
No comments:
Post a Comment