HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 5, 2014

ANUSURIKA KWA KUFA KWA WIZI WA SHUKA LA KIMASAI

Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo toka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukiri kuiba shuka la Kimasai katika moja ya maduka yanayouza bidhaa za aina hiyo lililoko mtaa wa uswahilini katikati ya mji wa Moshi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad