Hapa ni kutokea Magomeni Mapipa kuelekea Kariakoo,kupitia Jangwani ambapo sasa mambo ni mswano kweli kweli ukilinganisha na hapo awali.
Magomeni Mapipa ya sasa.
Inavyoonekana Magomeni ya Sasa kutokea Faya. Kikwangua anga jangwani.
Mtaa wa Idrisa,Magomeni.
Mtaa wa Dosi.
Kijiwe cha wanaSimba Magomeni Deluxe.

Barabara ya Kawawa kupitia Bonde la Mkwajuni inavyoonekana sasa.
No comments:
Post a Comment