HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 17, 2014

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SOKO LA SAMAKI,MBWENI KOBOLA

Baadhi ya Wafanyabiashara katika soko dogo la Samaki la Mbweni Kobola,wakiwaandaa samaki tayari kwa kuwauza kwa wateja wao wanaofika sokoni hapo.
  Samaki aina ya Kangu wakisubiri kuandaliwa kabla ya kuuzwa kwa wateja.
Baadhi ya Wafanya biashara katika soko dogo la Samaki la Mbweni Kobola wakisubiri wateja.

Wazee wa kazi wakielekea Chomboni tayari kwa safari ya kwenda kuvua.
Vyombo kwenye pakingi zake.
Paka wa bichi.
Safari inaanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad