HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 17, 2014

HUU NDIO MSIMU WA SIKUKUU.

Mama Toffa mkazi wa jiji la mbeya akiwa kwenye bata samu kutokana na mkuno kutoka kwa msusi wa nywele katika maandalizi ya hapa na pale ya sikukuu za xmasi na mwakampya, huku akiwa amepozi kwa kuketi chini kando kando ya kiji barabara cha vumbi huku akisema "nichafuke nisichafuke, mambo hapa ni gere, nikimaliza najifutaa futaa tuu"  ni mtazamo tu wa mzee wa mtaa kwa mtaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad