HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 7, 2014

KAMERA YA MTAA KWA MTAA LEO IMEANGAZIA ENEO HILI LA TABATA KIMANGA

 Kipande cha Barabara ya Tabata Kimanga kama unaeleke Kisukulu,hali hata si shwari.maana kwa watumiani wa njia hii kwao ni kero kubwa sana hasa kutokana na uharibifu wa eneo la barabara hiyo,maana inamashimo makubwa utafikiri mahandaki ya vita,mtu anapita na gari yake hapo hadi anatamani aibebe juu mpaka amalize mashimo hayo ndio airudishe tena barabarani kwa jinsi unavyolalamika huko chini.
 Hebu angalia hapa,halafu unaambiwa umetandikwa mkeka hapa.!!
Kipande hiki kwakweli kinatakiwa kukumbukwa sana kufanyiwa makeke,la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi ya hapa.kwa leo ni hayo tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad