Mfanyabiashara wa kuuza mito ambaye jina lake alikuweza kufaamika mara moja akiwa kwenye harakati za kutafuta wateja wake kama alivyonaswa na kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa Blog,katika barabara ya morogoro rodi jijini Dar es Salaam, baadhi ya vijana wamebuni biasha za aina hiyo ili kujipatia kipato kujikimu na maisha.
Wednesday, December 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment