HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 10, 2014

HAPO VIPI WADAU?

Katika matembezi ya kila siku kuhakikisha libeneke la Mtaa Kwa Mtaa halilali njaa,liibuka kwenye moja ya nyumba ya mdau huyu pichani (jina kapuni) na kumkuta amejiegesha huku akichati na mamsapu wake.bila kuchelewa na kabla ya salamu ilidakwa taswira hii mwanana kwanza na mambo mengine yakaja baadae.hapo vipi lakini wadau??

1 comment:

  1. HAPONNDO SITAMANI HATA KUFURAHIA UHURU WETU .
    KUNA WATANZANIA BADO WANAISHI KWA TAABU MNO SIJUI UHURU WAO UKO WAPI .NA KUNA WENYE NGAZI ZAJUU WANAISHI MAISHA YA KITAJIRI WANAMILIKI NYUMBA 5 MAGARI 7 NA SI KAMA WANAYAENDESHA YOTE HUKU WENGINE HAWANA DAWA MAHOSITALINI

    ReplyDelete

Post Bottom Ad