HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 30, 2014

DOGO NDANI YA BODABODA.

 Haya sasa wakati wengi wakilia na ajari nyingi zinazo sababishwa na pikipiki(bodaboda) nchini
 huwenda hii ikawa ni sababu moja wapo ya ajari hizo, kamera ya mtaa kwa mtaa imefanikiwa kumnasa dogo mwenye umri chini ya miaka 12 akiwa mzigoni na bodaboda bilashaka dogo huyu ajui lolote kuhusiana na mafunzo ya udereva kwasababu yupo darasa la tano katika shule moja iliopo Chimala Wilayani Mbarali Mkowa wa mbeya, na pikipiki hiyo ni ya mzee wake lakini dogo ndo anae piga gia(deiwaka) kwa niaba ya mzee wake.
 dogo akilianzisha kuelekea barabarani kutafuta madili huku wenzie wakimtamania jinsi anavyo piga pesa za likizo msimu huu wa siku kuu.
        dogo mwingine(kulia) akijaribu kuomba lifti kwa jamaa wake wa kitaa.
dogo yulee ana yeeyaa kutokana na kutoelewana na jamaa wake kuhusu rifti ya kumsogeza sogeza mbele kupitia kipando hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad