Kamera ya Mtaa kwa Mtaa blog imewanasa kina Mama hawa wakiendelea na kazi yao ya kufanya usafi katika barabara ya Shekilango,maeneo ya Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment