Pamoja na Serikali kuendelea kupiga kelele na wafanyabiashara ndogo ndogo kutokuwepo katika maeneo ya kando kando ya barabara,lakini hali inazidi kuwa tofauti na kelele hizo siku hadi siku,maana hakuna aliekubali kutii amri hiyo.hapa ni nje ya hospitali ya Sinza jijini Dar es Salaam leo.


No comments:
Post a Comment