HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 25, 2014

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)

 Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha(TANAPA) Betrita Loibook akimuonesha Waziri Nyalandu mfano wa mtambo wa kufua umeme unaotazamiwa kuwekwa katika hifadhi hiyo.

Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Arusha(ANAPA) Betrita Loibook akitoa taarifa ya Hifadhi hiyo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu.   
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mhifadhi Mkuu Arusha National Park,Betrita Loibook.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar walipokutana katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha na kumshawishi kutembelea hosptali ya Africa Amini Hearing Center.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad