Hii katika barabara ya Shekilango rodi ambapo hiyo gari nyeusi (kulia) ilizipita gari nyingi zilizokuwa kwenye foleni huku akiwa anaona kabisa kuwa mbele kukoje.lakini kutokana na haraka zake akiona wenzie ni washamba wa matumizi ya barabara aliamua kufanya hivi.je huu ni ustaarabu kweli??
Alipoona anakaribia kukutana na lori akachomeka gari lake kwenye ile ile foleni tena na baadae akachomoka tena.
No comments:
Post a Comment