HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 14, 2014

YANGA YAITUNGUA AZAM FC 3-0 UWANJA WA TAIFA LEO

Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.
Kikosi cha Azam FC.
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad