HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 2, 2014

MISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA YENYE MRENGO WA JINSIA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (wa kwanza kulia) akipitia taarifa ya mapendekezo ya mtandao wa wanawake na Katiba Tanzania wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa mada kuhusiana na suala la kijinsia katika Katiba, wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba kwa furaha wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma.(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad