Malori mawili yenye nambari za usajili T326 BGT na lingine lenye namba T 625 BYD yakiwa yamefunga njia baada ya kupigana pasi eneo la Kimara jijini Dar hivi karibuni.
Hivi ndivyo yanavyoonekana malori hayo kwa kutokea nyuma.
Ikalazimika magari mengine yanayoingia mjini yatumie njia moja kama inavyoonekana pichani.
Ujumbe katika moja ya malori hayo.
No comments:
Post a Comment