HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 7, 2014

WAZIRI MAGUFULI NA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA

Leo Jumapili Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (MB) amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ujenzi wa barabara za Usagara - Kisesa yenye urefu wa kilomita 16 iliyopo mkoa wa Mwanza na barabara ya Makutano - Natta illiyopo mkoa wa Mara.
Ukaguzi barabara ya Makutano - Natta (Mkoani Mara)
 Ukaguzi daraja la Kyarano (Wilayani Butiama)
Ujenzi Daraja la Kyarano akiwa na Mh.Mkono
Ukaguzi daraja la Nyashishi barabara ya Usagara - Kisesa, mkoani Mwanza

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad