
Hapa ni full burudani kwa watoto na wakubwa,kwana wanapiga zao mbizi bila zengwe lolote.
Mdau akitalii majizi na spidi boti yake.
hata wasiotaka kuogelea pia utawakuta huku wakipiga misele ya hapa na pale ili mradi na wao wamefika kupunga upepo.
Wafanyabiashara nao hapa ndio mahala pao,kwani hawawezi kutoka bila chochote.
Vibweka huwa havikosekanagi katika maeneo kama haya,pichani eti jamaa kauchapa uzingizi na wenzake wakamfunika mchanga.
hawa nao mambo ndio hayo hayo.
Mtu na Mamsapu wake
Hawa nao wakaja na staili yao ya kuvaa madera wakati wao ni watoto wa kiume,sikuwaelewa kwa kweli.
Bichi yetu kama Miami vileeee
Kala pozi bidada.
Kwa raha zake mwenyewe.
Hawa nao wakajibunia kampindo,kwamba mtu akitaka kupanda Farasi wao analipia sh. 1000.
No comments:
Post a Comment