Mdau na Mwanalibeneke Michael Machella anasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wake wa kike, Everlyne Michael Machellah,kilichotokea katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Marehemu, ambaye alikuwa ana umri wa mwaka mmoja, alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.
Mazishi yanatarajiwa kuyafanyika kesho. Muda na wapi tutawajulisha.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe milele
Amina.
aah! she's so cute. Rip baby girl
ReplyDeletepole sana bro
ReplyDelete