HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 20, 2014

KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE

4a
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam akiwagawia watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa futari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Kindondoni juzi ikiwa ni moja ya maelengo ya kampuni hiyo kuwakumbuka watoto yatima na kuwakarimu wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
5a
Anitha Pangani mfanyakazi wa kampuni ya Montage akiwagawia watoto chakula wakati wa futari hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Montage.
6a
Watoto wakiendelea kupata chakula

8a 9a
Baadhi ya wafanyakazi wa kituo hicho wakishiriki katika futari hiyo pamoja na watoto.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad