HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 8, 2014

OMBI MAALUM: KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA IKIANGAZIA TASWIRA MBALI MBALI ZA NCHINI MAURITIUS

Ukiwa unatoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport,Mauritius lazima utaona bango hili ambalo linakaribisha katika nchi hiyo.
Mambo yamenoga Mauritius.
Tanzanite yashaini kweli kweli Mauritius
Mkeka
Mandhali tulivu
UDA yao ikiwa mzigoni.
 Taswira ya kupendeza.
 BOFYA READ MORE HAPO CHINI KUSHOTO KUONA PICHA ZAIDI




























































4 comments:

  1. Ukiangalia uzii huu na ule wa Malabo ilioletwa na Michuzi majuzi,utaona kuwa pamoja na mambo mengine,wenzetu wamepiga hatua katika kuiimarisha infrastructure kitu ambacho sisi bado tuko nyuma sana.Hatuwezi kuendelea kuongelea mandeleo ktk karne hii kama hatuna barabara bora,wawasiliano duni etc.Inabidi again tujitambue na tujipange upwa.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Bongo ni rushwa kila kitu hakuna hata uzalendo wa kujenga miji yetu iwe misafi na mizuri. Kila kitu ni usanii mutupu.
    Sasa ona hata Mauritius wanatushinda kwa ujenzi mzuri na usafi wa miji yao?..

    ReplyDelete
  3. Nime notice barabara zao ni ndogo, nzuri, na safi, lakini hazina magari au misongamano kabisa.
    Wamewezaje kuepuka tatizo hilo.
    Mpiga picha hizi tufahamishe.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad