Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii katika picha ya Pamoja na mgeni rasmi Rais wa Idnia Dkt. .APJ Abdul Kalam baada ya kufungua kongamano linalojadili matokeo ya tafiti mbalimbali zinazohusu magonjwa ya saratani,hatua za kujikinga na magonjwa ya saratani,tiba za magonjwa ya saratani.mkutano huu uluhudhuriwa na washiriki mbalimbali kutoka bara la Afrika na Asia.Kulia kwa waziri wa Afya ni waziri wa Afya wa Zimbabwe Mhe David Parirenyatwa
Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii akifanya mazungumzo na mwenyekiti wa hospitali za appollo Dr.Pratap Reddy(mwenye tai ya bluu).mhe.waziri alikuwa akihudhuria kongamano la ugonjwa wa Saratani nchini India.mazungumzo haya yalilenga kuboresha utoaji wa huduma za Afya nchini Tanzania hususan Ugonjwa saratani.
Washiriki kutoka mataifa mbalimbali katika kongamano la saratani nchini India,wakimsikiliza waziri wa Afya na ustawi Jamii Dkt.Seif Rashid alipohutubia kongamano Hilo.

.jpg)
.jpg)
.jpg)
Mimi ni mtanzania niko hapa tumbi hospital kwa jinsi watu wanavyo teseka sioni kama nchi hii tuna waziri wa afya. Ni afadhali msijionyeshe ktk television tusiwajue tu. Tumekata tamaa.
ReplyDelete