Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo leo Feb 26.2014,katika Ukumbi wa J.K Nyerere,jijini Dar es Salaam.
Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa Pensheni wa PSPF, mstariu wa mbele, wakiwa miongoni mwa wajumbe wanaohudhuria mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana Februari 26, 2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimtaifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, kuhudhuria mkutano mkuu wa tatu wa Mfuko wa PSPF wa wadau Februari 26.2014.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akishuka kwenye gari lake, huku naibu waziri wa fedha, Adam Malima (kushoto), akiwa tayari kumpokea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam jana, kufungua Mkutano Mkuu wa Tatu wa Wadau wa mfuko wa pesnheni wa PSPF.

Baadhi ya wajumbe wakifuatilia ufunguzi wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment