HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 24, 2014

Waziri Mkuu atembelea eneo la daraja lililoathiriwa na Mafuriko Mkoani Morogoro

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera (kushuto )  pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero,Mh. Anthony Mtaka wakati alipotembelea sehemu iliyoathirika kwa mafuriko,Mkoani Morogoro.
Muonekani wa Dajara lilillokatika kutokana na Mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Musururu wa malori yaliyo kwama baada ya mafuriko yaliyotokea mkoani Morogori hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad