Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya Salum,(wa pili kulia) pamoja na Manaibu wake Adam Kigoma Malima na Mwigulu Lameck Nchemba,(kushoto) walipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya Salum,alipofika kujitambulisha na Manaibu wake Adam Kigoma Malima na Mwigulu Lameck Nchemba,(hawapo pichani) walipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu].

.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment