Meneja wa bia ya ndovu, Pamela Kikuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumkabidhi mshindi, Stephen Migodela, cheti na tiketi mbili za ndege za kwenda na kurudi katika mbuga ya Selous mara baada ya kuibuka mshindi katika program ya utetezi wa uhifadhi wa wanyama Tembo uliokuwa ukiendeshwa kwa njia ya mtandao wa kijamii wa facebook.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam leo.
Mshindi wa shindano la kutetea uhifadhi wa wanyama tembo,Stephen Migodela akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumkabidhiwa cheti na tiketi mbili za kwenda na kurudi katika mbuga ya Selous,zoezi lililokuwa likiendeshwa kwa njia ya mtandao wa kijamii ya facebook.Kulia ni Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli.
Meneja wa bia ya ndovu, Pamela Kikuli (kulia) akimkabidhi, Stephen Migodela, cheti na tiketi mbili za ndege za kwenda na kurudi katika mbuga ya Selous mara baada ya kuibuka mshindi katika program ya utetezi wa uhifadhi wa wanyama Tembo uliokuwa ukiendeshwa kwa njia ya mtandao wa kijamii wa facebook.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam leo.





najisikia furaha sana kama mzalendo ambae naunga mkono jitihada za serikali na mashirika binafsi kukupambana na ujangili dhidi ya tembo. pongezi nying ziwaendee Tbl, kupitia kinywaji chake cha Ndovu special malt. ITAPENDEZA ZAIDI KAMA MAKAMPUNI MENGINE YATAUNGA MKONO JITIHADA HIZI ZA SERIKALI.KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA UTALII KTK TAIFA HILI KTK KULETEA MAENDELEO
ReplyDeleteulikua ni wakati mzuri sana,kuunga mkono jitihada za serikali na mashirika binafsi ktk kupambana na ujangili wa tembo. pongezi nyingi kwa Pamela Kikulu kuanzisha programu hii kupitia kinywaji cha Ndovu Special Malt
ReplyDeleteitapendeza sana ikiwa mashirika mengine binafsi yataunga mkono jitihada za serikali kupambana na ujangili kama ilivyofanya Ndovu Special Malt
ReplyDelete