Mdau Pius Micky ametuletea taswira hii kutoka huko Sumbawanga Mkoani Rukwa,inayoonyesha Lori likiwa limepakia abiria pamoja na mizigo ya watu wanaodhaniwa kuwa ni wafanyabiashara wa Minadani.Taswira hii imenaswa leo katika barabara kuu itokayo Sumbawanga mpaka Tunduma Mkoani Mbeya.
Tuesday, January 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment