Mtoto Janeti Albart (katikati) akikata keki pamoja na Baadhi ya Marafiki zake wakati wa hafla fupi ya kumpongeza kwa kutimiza miaka 3 toka kuzaliwa kwake.
Mtoto Janeti Albart akimlisha keki dada yake Suzan Timothi wakati wa hepi besdei yake ya kutimiza miaka 3,katika hafala ilifanyika nyumbani kwao Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mama mzazi wa Janet Albart akilishwa keki na mwanae wakati wa sherehe fupi ya hepi besdei yake ya kutimiza miaka 3 .hafala hiyo iliyofanyika nyumbani kwa babu na bibi yake Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Marafiki wa janet wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni sehemu ya kumpongeza kwa kutimiza miaka 3.





No comments:
Post a Comment