Hivi inakuwaje mtu anaona kabisa kwamba hii taa ni nyekundu ikimaanisha ni hatari kwake na haruhusiwi kuivuka kwa hawakati huo, na huku akiona magari mengine yakitii amri hiyo na yeye akayapita na kuendelea na safari yake, ni kwamba anajua sana sheria za usalama barabarani, sheria na nchi iko chini yake au ni vipi??.maana kiukweli sikumuelewa kabisa dereva wa gari hili.
Thursday, December 19, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Ki ukweli kabisa huyu leseni yake pia ina mashakaa
ReplyDelete