HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 19, 2013

jamaa wakipiga kiraka barabara ya Mwinjuma,Kinondoni

Katika pita pita zangu za kila siku mitaani ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog halilali, niliibuka mitaa hii ya Kinondoni katika barabara Mwinjuma inayotoka Kinondoni Studio kuelekea Mwananyamala na kukutana na wadau hawa wakipiga Kiraka kwenye moja ya shimozz korofi kwa muda mrefu sana lililokuwepo kwenye barabara hiyo, jambo lililonipelekea kuwapa Heko bab kubwa jamaa hawa.Wadau au mnasemaje???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad