Leo katika pita pita zangu mitaa ya mjini Dar es Salaam,nikabahatika kukutana na Bajaj hii ikiwa na maandishi hayo kama yanavyoonekana.Je unafikiri alieandika maandishi haya amewaza nini??
Tuesday, December 17, 2013

Home
Unlabelled
unafikiri kawaza nini alieandika maandishi haya??
unafikiri kawaza nini alieandika maandishi haya??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ameona maasi yamezidi anataka hukumu ije mara moja
ReplyDelete