HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 21, 2013

Simba yaanza mchezo kwa kasi ya ajabu,yaitungua Yanga bao moja bila na mchezo bado unaendelea

 Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17),akiwa mpiga chenga ya Mwili Beki wa Timu ya Simba,Donald Mtosi wakati mchezo wao wa Nani Mtani Jembe unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Hadi hivi sasa Simba wanaongoza kwa Bao 1-0 na tayari dakika 35 za mchezo zishakatika.
 Golikipa Machachari wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiruka juu kudaka mpira uliokuwa unaelekea langini kwake.
 Simba wakiandika Bao la Kwanza mnamo dakika ya 19 ya mchezo.
 Mashabiki wa Simba.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad