HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 21, 2013

HUKU YANGA NA HUKU SIMBA,NANI KUONDOKA NA MIL. 100 LEO???

 Mashabiki wa Timu ya Yanga wakishangikia kwa shangwe hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya kukutana kwa Timu mbili kubwa hapa nchini ambazo ni Simba na Yanga.Mtanange huu wa leo ni wa Kumsaka Mtaji Jembe kati ya Timu hizo mbili. Watu mbali mbali ambao ni wapenzi wa soka bado wanazidi kuingia uwanjani hivi sasa. Uwanjani hapa hivi sasa na itakuwa ikikuletea matukio kedekede yanaendelea kuanzia sasa mpaka mwisho wa mchezo huu.
Mashabiki wa Timu ya Simba nao hawako nyuma kwenye kuisapoti timu yao.
Hii ndio LineUp ya leo kama inavyosomeka hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad