Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi alama mpya za barabarani kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo toka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, Bi. Lupi Maswanya wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Usalama barabarani ya Watu wenye Ulemavu (NCPDRS) na mbunifu wa alama za barabarani kwa watu wenye ulemavu ,Bw. Jutoram Kabatelle,kabla ya kuzindua rasmi alama mpya kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mabanda ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 .PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 akiwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akiwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi pamoja na Mwenyekiti wa (SHIVWATA) baada ya kuhutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa cheti kwa Bw. Frederick Msigallah wa CCBRT katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati mwakilishi na Mtangazaji wa ITV i katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa cheti kwa niaba ya TBC Mtangazaji mahiri wa stesheni hiyo ya Taifa Bi. Amina Mollel katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Bw. Amon Anastaz akisoma risala kwa kutumia braille katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau
wa SHIVIWATA wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013.
No comments:
Post a Comment