Afisa Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara (kulia) na mai waifu wake Lydia Mbonde baada ya kulamba Nondozzzz za Uzamili ya MSc/HRM mara baada ya kutunukiwa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi ya Dar es Salaam.
Afisa Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara na mai waifu wake Lydia Mbonde wakipokea zawadi mara baada ya kula Nondozzz ya Uzamili ya MSc/HRM katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi ya Dar es Salaam.
Afisa Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara na mai waifu wake Lydia Mbonde wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao mara baada ya kulamba Nondozzz za Uzamili ya MSc/HRM katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi ya Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment