HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 5, 2013

Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya ya Haki za Binadamu kufanyika Desemba 10


Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento akifafanua jambo kwa waandishi wahabari na baadhi ya wadau wa sekta hiyo (hawapo picha) ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu Dunia inayotarajiwa kufanyika tarehe 10 Desemba mwaka huu.
Pichani wadau wa Haki za binadamu wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora( hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa habari wa ITV ,Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano wa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija - Maelezo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad