HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 4, 2013

KUMBUKUMBU

Marehemu Dkt. Frank Martin Elia

Leo Desemba 4, 2013 umetimiza miaka 6 tangu ututoke ghafla.  Ni siku ambayo hatutaisahau kamwe. Unakumbukwa sana na mkeo Mwl Grace Elia, wanao Martin, Makala, Esther, Angela,Gideon na Brenda, pia wajukuu zako Elkan na Briette.

Mama yako, Wadogo zako wa kiume na wa kike na familia zao, bibi Ulumbi, shemeji zako. Unakumbukwa pia na ndugu wote, jamaa marafiki na jirani zako popote walipo.

Daima tutakukumbuka kwa ucheshi wako, moyo wa upendo na furaha uliokua nayo daima wakati wote. Tulikupenda sana lakini Bwana alikupenda zaidi.

Mungu na akuangazie mwanga wa milele na upumzike kwa amani mpaka tutakapoonana tena.

AMINA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad