HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 24, 2013

Haya ndio mambo ya Bongo Dar es Salaam,Hata Buchani pia kuna Foleni

Leo asubuhi katika pita pita zangu za Mdau Atuza Nkurlu alikutana na foleni hii ndefu sana ya kununua nyama buchani,eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.Hii yote ni kutokana na Maandalizi ya sikukuu ya Krismas inayotarajiwa kufanyika kesho Duniani kote.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad