HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 24, 2013

MH. MWAKEMBE AFANYA UKAGUZI WA BEI ZA TIKETI ZA MABASI YA ENDAYO MIKOANI ALFAFJIRI YA LEO MAENEO YA VISIGA

Waziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad