HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 2, 2013

tamasha la Mitindo la Mercedez Benz African Fashion Week laendelea jijini Pretoria,Afrika Kusini


Wanamitindo mbali mbali wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mbunifu,Bongiwe Walaza wa Nchini Afrika Kusini wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini
Baadhi ya Mavazi ya Mbunifu,Mustafa Hassanali.
Wanamitindo mbali mbali wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Wabunifu,Taibo Bacar na Thula Sindi wa Nchini Afrika Kusini wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad