HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 1, 2013

tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week laendelea kwa siku ya pili jijini Pretoria,Afrika Kusini

Mbunifu wa mavazi wa kutoka Tanzania,Sheria Ngowi (mwenye koti jeupe) akiwasalimia watazamaji waliofika kujionea Maonyesho ya Mavazi mbali mbali katika tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Mavazi ya Mbunifu Sheria Ngowi yalionekena kupendwa sana na watazamaji hao (hawapo pichani),kwani ilikuwa kila vazi likipita walisikika wakipiga kelele za kushangilia.

Wanamitindo wakipita jukwaani kuonyesha mavazi nadhifu yaliyobuniwa na Mtanzania Sheria Ngowi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad