Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini,Mh. Radhia Msuya (alieketi katikati mwenye nguo ya bluu) akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya Watanzania waliopo nchini Afrika Kusini,mara baada ya kumalizika kwa Tamasha la Maonyesho ya Mitindo ya Mavazi la Mercedez Benz African Fashion Week,linaloendelea kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.
Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini,Mh. Radhia Msuya (pili kulia) akiwa na Watanzania wanafanya kazi zao Nchini Afrika Kusini.Toka kulia ni Millen Magese (Mwanamitindo),Mwamvita Makamba (Mfanyakazi wa Kampuni ya Vodacom) pamoja na Ally Dax (mwanamitindo).
Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini,Mh. Radhia Msuya akimsikiliza kwa Makini Mwanamitindo,Sheria Ngowi.
Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini,Mh. Radhia Msuya akiwa na Wanahabari kutoka Tanzania.Toka kulia ni Othman Michuzi,Atuza Nkurlu,Anganile pamoja na Mwanamitindo Ally Dax.
Dada Hellen Kiwia (kulia) akiwa na Rafikiye Susan Wong kutoka nchini Kenya.
Toka kushoto ni Ellgiva Meena,Haki Ngowi,Mie pamoja na Ally Dax.
No comments:
Post a Comment