Majaji wa Shindano la Redd's Uni Fashion Bash wakiongozwa na Jaji Mkuu,Asia Idarous wakiwa makini kabisa kutazama washiriki wa shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa kijiji cha makumbusho na kushirikisha vyuo kumi na mbili vya jiji la dar es salaam.
Washiririki waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya ubunifu kwenye shindano la Redd's Uni Fashion Bash lilifanyika katika ukumbi wa kijiji cha makumbusho na kushirikisha vyuo kumi na mbili vya jiji la dar es salaam wakijipongeza kwa pamoja.
Mmoja wa Wamamitindo akipita jukwaani.
Washiririki waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya upande wa mitindo kwenye shindano la Redd's Uni Fashion Bash.
Warembo mbalimbali wakiongozwa na Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa (wa pili kulia) wakifuatilia shindano la Redd's Uni Fashion Bash lilifanyika katika ukumbi wa kijiji cha makumbusho jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.


No comments:
Post a Comment