HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 11, 2013

Red dot wazindua kompyuta mpya ya Kampuni ya Dell jijini dar

Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia), Meneja masoko wa Red dot, Tapinder Dev Gariya,Mkurugenzi wa Red dot, Riaz Baruan,Mkuu wa kitengo cha mauzo cha Red dot, Samir Habib na Meneja uzalishaji wa Computa za Dell, Sameer Pareek wakipiga makofi mara baada ya kuzindua Computer mpya na ya kisasa ya Dell wakati wa hafla ya ukuaji wa tekinojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia),akijaribu kufanya jambo kwenye computer ya Dell mara baada ya kuizindua rasmi wakati wa hafla ya ukuaji wa tekinojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni Meneja uzalishaji wa Computa za Dell, Sameer Pareek, Mkuu wa kitengo cha mauzo cha Red dot, Samir Habib, Mkurugenzi wa Red dot, Riaz Baruan na Meneja masoko wa Red dot, Tapinder Dev Gariya.
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia) akimkabidhi mbunifu bora wa mwaka 2012-2013 wa Red dot, kutoka kampuni ya Sai Impex wakati wa hafla ya ukuaji wa tekinojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad