HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 13, 2013

Rais Kikwete aifariji familia ya Dkt.Sengondo Mvungi jijini dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad