Wakazi wa mji wa Sengerema wakishangilia kwa furaha ujio wa
kampeni ya NANI MTANI JEMBE ktk mji wao. Promo hiyo ilifanyika
Mnwani's Bar jana.
Wakazi wa Sengerema wakishiriki zoezi la kupiga danadana kwenye
kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro.
Promo hii ilifanyika Mnwani's Bar mjini Sengerema jana.
Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia baada ya mwenzao
kushinda ktk zoezi la danadana kwenye kampeni ya NANI MTANI
JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro iliyofanyika Mnwani's Bar mjini
Sengerema jana.
Shabiki wa Simba akipokea jezi baada ya ushundi ktk kupiga
danadanakwenye kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia
bia ya Kilimanjaro lilyofanyika jana Mnwani's Bar Sengerema.
Mkazi wa mji wa Sengerema maarufu kwa jina la Bonge
akicheza kwa furaha jukwaani baada ya jupokea zawadi
ya jezi ya timu ya Yanga. Ni ktk kampeni ya NANI MTANI
JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro iliyofanyika Mnwani's Bar
mjini Sengerema jana.

No comments:
Post a Comment