HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 28, 2013

mzee wa Feva na Feva ya Nguvu kwa Wadau wake

 Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa mapema asubuhi hii, imeweza kuinasa Taswira hii mwanana kabisa ya Mzee wa Feva akishirikiana na wadau kutoa Feva kwa kusukuma moja ya Gari iliyokuwa imekata kiwese maeneo ya bonde la Kigogo, jijini Dar es Salaam.Libeneke la Mtaa kwa Mtaa linatoa heko kwa Mzee wa Feva huyu kwa kuonyesha moyo mzuri wa kusaidia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad