HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 27, 2013

Mtanzania ashinda Taji la Jumuiya ya Madola nchini Uingereza

 Malkia Kassu
 Mtanzania, Malkia Kassu ( wa tano toka kushoto) akiwa na washindi wenzake - wote wamevalia taji na kubeba vikombe vya ushindi. Picha na Jay Pedram
 Malkia Kassu akipongezwa na marafiki, Andrew Matt na Aisha Mohammed.  Picha na Jay Pedram
  PONGEZI TOKA UBALOZINI: Kutoka kushoto ni mdhamini, Ali Sungura, Balozi wetu Uingereza , mheshimiwa Peter Kallaghe,  sahiba mkuu Aisha Mohammed na Afisa Ubalozi, Allen Kuzilwa. Picha na Ali Surur  na habari imeandikwa na Freddy Macha

1 comment:

  1. Hongera sana Dada,kwa moyo wa dhati ninakupongeza sana na kukutakia kila la heri katika career yako.Umeonyesha mfano mzuri kwa wasichana wa kitanzania ambao ninawaomba watamani kuwa kama wewe au zaidi ili kwa pamoja muitangaze Tanzania vizuri kimataifa.Ninaamini vijana na wasichana wetu wa Tanzania wanaweza na hawasubiri kuwezeshwa.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad